Nyama gani tamu zaidi duniani?

Nyama gani tamu zaidi duniani?

Naomba nijulishwe. Maana wapo wanaosema kuku, wengine bata, na wengine husema ngamia na kitimoto

Kitu cha Pelgrado Hotel Mozambique, Nyama imekuwa laini kama sufi

image.jpg
 
Mikundu ya KUKU ukikuta imeandaliwa vizuri na pilipili pembeni......Senene hawaoni ndani, huyo Pweza ndio asogei kabisa...!
 
Back
Top Bottom