Nyama hii ni tamu lakini ni adimu

Pale mbeya Kwa mwailubi Kuna ya kuchoma hapo pembeni

Na hapo hapo eneo la mwailubi Kuna ka bar ka mwanzo kama unatokea mzumbe mkono wa kushoto sasa mule wanatengeneza na wanatoa na ngozi kabisa yani una mla madudu bila ngozi.

Nimekula mdudu nikiwa huko na nmeishi sana vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…