Nyama hii ni tamu lakini ni adimu

Pale Rau Kuna Sehemu Wanachoma Hiyo Jambo Oops Hatari Sana Sana
 
Haramu ni haramu tu hata mlete nyuzi 100 .. Acha kupenda vya kunyonga Waheed!
Unapomvua chupi mtoto wa watu na kumzini,unapolewa pombe,unapoongeza sifuri kwenye hesabu upate za kuhonga kote huko huoni ni dhambi au haramu kwako wewe haramu ni nyama ya nguruwe tu?

Acha unafiq!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…