Nyama hii ni tamu lakini ni adimu

Nipeni location wadau sijaila muda mrefu hii kitu nataka siku ya kuila nipate kitu safi
Inategemea uko maeneo gani. Iyunga karibu na ofisi za saccos kuna kitimoto safi sana, mzumbe Horizon na karibu yake unapata ya kuchoma, mitaa ya Mwailubi kuna sehemu zina kitimoto safi, njia ya Eso opposite na restoration church kuna kitomoto choma na sungura. Mitaa ya Nasoma mama John kuna kijana anaitwa Rama anarost noa kwa style unayotaka, mbalizi mitaa ya wagadugu. Na vijiwe vingine vya kina vamponji na Savoy karibu na cucom. Machimbo ya haramu ni mengi sana
 
Shukrani mkuu wacha nijichange niende sehem mojawapo ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…