Birdman
Member
- Oct 31, 2012
- 79
- 24
Jamani,naombeni msaada, mimi na shemeji yenu tuna tatizo,kila siku tunapopika nyama kesho yake lazima iharibike,ikose radha,tumejaribu kufanya jitihada kibao imeshndkana,SERIOUS NAOMBENI MSAADA
Mmmhh...nyama aina gani, red ama white??