Katika kipindi hiki cha sikuku za xmass na mwaka mpya nimepata hamu kubwa sana ya kula nyama ya wanyama wa porini kama pofu, swala, ngiri, twiga, nyati, kongoni, ndezi, mamba, mbuni n.k
anayefahamu wapi nyama hizi zinapatikana either iliyotayarishwa au mbichi atujuze
i wish you a prosperous new year
aluuu....karibu kijijini kwetu Robanda hapa.......utakinai....
si unajua juzi juzi hapa nyumbu walipita.......tuna vimolo vya kutosha ghalani.......
kama huna nauli sema nikutumie kwa m-pesa.......
kongosho eee sisi kwetu hayo tunayaita mashauzduh, haya bwana.
Mie nawaogopa
nimekulia posta pale jengo la NIC.