Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri

Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri

Huku chalamaka
JamiiForums-596596548.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
duh! mtakuja kulishwa mbwa aiseee

yaani bei ya mdudu ni ndogo kuliko hata ng'ombe
Endelea kubisha
Mdudu ana chinjwa tunamuona
Hauzwi kichochoroni wewe

Ukitaka mbichi unachukua
Roast,kavu wanakutengenezea

Kaa huko huko kwenu dar msije huku kwenye neema zetu
Viaz sado buku jero
Ndizi mzuzu moja mia mbili
Mahind debe buku tano
Mahind choma mia tatu moja
Nyama ya ng'ombe buku sita kilo
Mbuz mzima hai elfu 20

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kubisha
Mdudu ana chinjwa tunamuona
Hauzwi kichochoroni wewe

Ukitaka mbichi unachukua
Roast,kavu wanakutengenezea

Kaa huko huko kwenu dar msije huku kwenye neema zetu
Viaz sado buku jero
Ndizi mzuzu moja mia mbili
Mahind debe buku tano
Mahind choma mia tatu moja
Nyama ya ng'ombe buku sita kilo
Mbuz mzima hai elfu 20

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sasa muuzaji wa kitimoto katika huu uzi yupo Dar...

Wewe unaanza kutaja bei za mbwinde huko...
 
Endelea kubisha
Mdudu ana chinjwa tunamuona
Hauzwi kichochoroni wewe

Ukitaka mbichi unachukua
Roast,kavu wanakutengenezea

Kaa huko huko kwenu dar msije huku kwenye neema zetu
Viaz sado buku jero
Ndizi mzuzu moja mia mbili
Mahind debe buku tano
Mahind choma mia tatu moja
Nyama ya ng'ombe buku sita kilo
Mbuz mzima hai elfu 20

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mmh Tanzania hii hii au Kuna ingine?
 
Back
Top Bottom