Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
- Thread starter
- #41
Shukrani sana
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana
darasa zuri.
hivi kweli prawns ni haramu?
sawa na alivyo nguruwe?
kuna siku nlibeba kwa mbwembwe ile nimetenga tu nikasikia astaghfiruulah kadhaa .
nnakaribia miezi sijapata French kiss Aisee.
Prawns= kamba
Ni HALAL FOOD
Uhalali wake unaupata wapi? Mimi uharamu wake naupata Leviticus 23
Jinsi ya kupika samaki wa foil
Mahitaji![]()
- 1 kitunguu maji kikubwa
- 1 pc limao kubwa
- 5 gram binzali
- 5 gram chumvi
- 5 gram pili pili manga
- 1 pili pili hoho kubwa
- 50 gram tomato pest (nyanya ya kopo)
- kipande cha foil kutokana na ukubwa wa samaki
Jinsi ya kupika
- Mtoe magamba samaki wako kisha msafishe vizuri.
- Chukua vitunguu, pilipili hoho, maji ya limao, binzali, chumvi, pili pili manga na nyanya ya kopo na uvichanganye vyote kwa pamoja kisha paka mchanganyiko wako kwenye samaki wako pande zote mbili ulizompasua ili mchanganyiko huu uingie vizuri katika nyama. Mabaki ya huo mchanganyiko yaweke tumboni mwa samaki kisha mfunike vizuri na foil na muweke katika oven iliyokwisha pata moto.
- Unaweza kumpika katika oven kwa dakika 30 kwenye moto wa degree 200 hadi 250 pia unaweza kumchoma katika jiko la mkaa akiwa na akaiva vizuri kabisa
- Baada ya nusu saa samaki wako atakua ameiva na tayari kwa kuliwa.
This i'll try
darasa zuri.
hivi kweli prawns ni haramu?
sawa na alivyo nguruwe?
Yaani seleka ile kitu ingine, ukuje nikufundishe pacha[emoji12]Kuku aliyechomwa hapo ndio 'sekela'? Naipenda hiyo nyama, ila sijui inavyopikwa hadi kuwa tamu vile.
Yaani seleka ile kitu ingine, ukuje nikufundishe pacha[emoji12]
Wapenda kula utawajua tu.Aisee yaani katika chakula nikipendacho ni samaki wamelostiwa na kuwekwa maharage ndani ya mchuzi huo hapo sasa ukila huo utamu wake si mchezo utaomba ardhi ipasuke kwa shatashata lake
Haya ngoja nifuatilie darsa taratiiibu namie nijaribu.