Nyama Special Thread: Jifunze kupika mapishi mbalimbali ya aina tofauti za nyama

kuna siku nlibeba kwa mbwembwe ile nimetenga tu nikasikia astaghfiruulah kadhaa .
nnakaribia miezi sijapata French kiss Aisee.

POLE ndugu yangu. Prawns kwa maana ya KAMBA ni HALAL unless labda kimombo kiwe kimenipiga chenga. Sie wa pwani ya Mombasa, Tanga, Hicho ni chakula cha kumkirimu mgeni wa heshima haswa
Da #FaizaFoxy hebu njoo huku jikoni kidogo
 
Uhalali wake unaupata wapi? Mimi uharamu wake naupata Leviticus 23

Mkuu uharamu au uhalali unategemea dini/imani ya mtu. kilicho haramu kwa imani yako kinaweza kisiwe haramu kwa imani yangu(kinyume chake ni saahihi). Kwa hiyo wewe umeshajipambanua aina ya imani yako. Nikujize tu kwa imani yangu kamba=prawns ni halali. Soma post #37 hapo juu uhalali wake umeelezwa na wala sihitaji kukupa ithibati zaidi na pia sikulazimishi kukubaliana na mtizamo wangu. You can choose to agree to disagree. Sipo kwa ajili ya munakasha.
 

This i'll try
 
Aisee yaani katika chakula nikipendacho ni samaki wamelostiwa na kuwekwa maharage ndani ya mchuzi huo hapo sasa ukila huo utamu wake si mchezo utaomba ardhi ipasuke kwa shatashata lake
 
Kuku aliyechomwa hapo ndio 'sekela'? Naipenda hiyo nyama, ila sijui inavyopikwa hadi kuwa tamu vile.
 
Ahsante sana mpishi, ila picha ya samaki wa foil kwenye mkaa haifunguki
 
Aisee yaani katika chakula nikipendacho ni samaki wamelostiwa na kuwekwa maharage ndani ya mchuzi huo hapo sasa ukila huo utamu wake si mchezo utaomba ardhi ipasuke kwa shatashata lake
Wapenda kula utawajua tu.
 
Haya ngoja nifuatilie darsa taratiiibu namie nijaribu.

Ni nzuri sana pia,kwa wale ambao wana nia ya kujifunza au kuongeza ujuzi kwa mambo ya maakuli,siyo kila siku kutoa lawama tu kwa mke amekosea kupika,kama vipi unaingia wewe mwenyewe jikoni unamuelekeza kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…