kwenzi JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 669 Reaction score 666 Jan 14, 2017 #1 Hakuna nyama tamu kama kitmoto nimejionea hapa dunian. Nawasilisha. Ikaushwe hisiwe losti kachumbali yenye pilpil Kali pemben Pepsi ya baridiiii plus kaugali kalaini. Jaman jaman hapa dunian kuna rahaaaa
Hakuna nyama tamu kama kitmoto nimejionea hapa dunian. Nawasilisha. Ikaushwe hisiwe losti kachumbali yenye pilpil Kali pemben Pepsi ya baridiiii plus kaugali kalaini. Jaman jaman hapa dunian kuna rahaaaa