Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
 
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
Bata mtamu lkn hana nyama ujue.
Ukitoa mapaja na miguu, kdg na wings zilobaki ni mifupa tu. Hana breasts kama kuku. Mbavu tupu.
Ila pia uoatikanaji wake sio rahisi kama kuku, nahisi wafugaji wa bata sio wengi.
Halafu pia, pamoja na kuwa hana nyama sana lkn anauzwa ghali. Sijanunua siku nyingi lkn mara ya mwisho nilimnunua kwa elfu km 25 au 30 sikumbuki vizuri.
Na hapo ukitaka unaagiza mapema unafugiwa ndio akikuwa unauziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…