ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,151
[h=3]
Nimeikuta sehemu nikasema niwadokeze wadau wa JF na nyie mumfaidi bata jamani[/h]
Nimeikuta sehemu nikasema niwadokeze wadau wa JF na nyie mumfaidi bata jamani[/h]
Unataka kula kitu tofauti?katika hali ya kawaida tumezowea kula nyama ya kuku lakini vipi nyama ya bata?umewahi kumla bata?unatamani kumla?au unamla kama kawa hapo home kwako?
Hizi picha huyu ni bata ambae anatengenezwa na mtu anaitwa George.Mapishi ya bata huyu yanaitwa Slow Roast Duck.
Kama unataka kula na kumfaidi bata huyu unatengenezewa na kuletewa hapo nyumbani kwako bata mmoja Tsh 30,000 tu.
Kama umependa piga simu namba 0684 609944 na 0718 609944.
Bata ni wakwake mwenyewe maana anawafuga hivyo hapo utakuwa ukilipia bata pamoja na mapishi yake na kukuletea duuuh bei nafuu mno.
Ukishamfaudu bata wako utanipa feedback ilikuwaje!!HII NI KWA WALE WA DAR!!





