Nyama ya kondoo inahitajika

Nyama ya kondoo inahitajika

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu. Kwa mwenye uwezo wa ku-supply nyama ya kondoo DUME kiIlo 5000 kwa wiki tafadhali tuwasiliane. Simu 0656388678, Whatsapp 0676434611
 
Nyama napenda sna huo kitu kwa mrombo huwa nikifika nawaambiwa kbsa nataka ya kondo mm sitaki mbuzi

Wkt najuwa tu kuwa wengi pale wanalishwa nyma za ndoo pasipo kujuwa wakizani Ni mbuzi
Bas wakiniona wannishobokea wakizani mm nitataka ya mbuz wakt napendekeza ya kondoo
 
Unataka kondoo dume waadimike?
Haki sawa kwa wote chukua na ya kondoo jike.
 
Back
Top Bottom