Nyama napenda sna huo kitu kwa mrombo huwa nikifika nawaambiwa kbsa nataka ya kondo mm sitaki mbuzi
Wkt najuwa tu kuwa wengi pale wanalishwa nyma za ndoo pasipo kujuwa wakizani Ni mbuzi
Bas wakiniona wannishobokea wakizani mm nitataka ya mbuz wakt napendekeza ya kondoo