Nyama za pua kwa mtoto

Ili Tatizo sio kwa watoto tu ata watu wazima.mie mwenyewe ili tatizo la vinyama puani linakera mno kwani kila siku wewe unaonekana ni mtu wa mafua tu na usiku hulali vizuri CHAFYA za kila mara yani kero mie nilikua na ili tatizo na nikawa napewa EPHRIDINE NASAL DROP naweka vimatone viwili then pua zinaachia lakini hali iliendelea ikawa kero zaidi ndo mwaka 2008 nikiwa BUKOBA akaja dr from kenya wa ENT ndo akanifanyia operation kwakweli niliumia sana na nilikaa hospital almost 7 dayz baada ya apo hali ilikua nzuri sana mafua yakakauka na kuhema kukawa vizuri...Dawa ni operation tu
 
Nyama za puani zina uhusiano na familia zenye ugonjwa wa pumu au asma kwahiyo badala ya pumu mtuanapata sinus, kikubwa zaidi ni allergies.
 
Msaada jamani. Naweza kutuliza vipi maumivu/kero ninazopata kwa kuwa na nyama za pua? At least kwa muda maana nilipo siwezi kumuona daktari.
 
Jina la hyo spray ndugu, 0715 577 628

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…