M mwenyeKitu JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 946 Reaction score 771 Nov 22, 2016 #1 Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. .. Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii kitu ....na kama kuna ushauri wowote
Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. .. Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii kitu ....na kama kuna ushauri wowote
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 12,325 Reaction score 38,203 Jun 15, 2017 #2 Hakuna tiba mbadala zaidi ya upasuaji?