Nyama za Puani

Nyama za Puani

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
946
Reaction score
771
Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. ..

Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii kitu ....na kama kuna ushauri wowote
 
Back
Top Bottom