Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kama hauishi arusha, acha wa arusha waishiTunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.
Ndo akili za watanzania. Unapewa nyama choma Leo,unapeleka mtu kulipwa 18M per month katika uchaguzi usio uchaguzi Bali uchafuziTunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.
We takataka ni maiti inayotembea, siwezi kusoma huu uchafu wako. Km vp jitundike tu yaisheTunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.
We unayefuatilia wasiokuhusu ndio mpumbavu zaidi, unataka kila mtu awe mshamba km wewe? Wacha waishi style wanayoitaka, ht hivyo hiyo ni mikoa ya nyama unataka iwe km Mbeya, Ruvuma, Iringa na wenzao wanaofanana nao? Arusha ina life style yake nini kinakukera, pilipili usisozila zakuwashia nini we kibwengo? Unawaonea wivu?Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.
We kajenge magorofa, acha wala nyama wale nyama zao.Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.
Usipokula hiyo nyama utazuia kulipwa huo mshahara?Ndo akili za watanzania. Unapewa nyama choma Leo,unapeleka mtu kulipwa 18M per month katika uchaguzi usio uchaguzi Bali uchafuzi
We kibwengo ni raia wa nchi ganiNdo akili za watanzania. Unapewa nyama choma Leo,unapeleka mtu kulipwa 18M per month katika uchaguzi usio uchaguzi Bali uchafuzi