Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
sema Baba E...mambo yako bien?
Niko fresh bibie, sijui wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema Baba E...mambo yako bien?
Niko fresh bibie, sijui wewe?
Yakhee weye nilikuonya tangu awali ......n'kakwambia........ uctie n'guuu, usionje nyama yao mwenyewe fundi ....ajua kupika , shekhe hukisikia...........sasa ona umeshindwa kuficha siri wakiri barazani kuwa Nyamao ni tamuuuuuuuu kheee.............. mbona waleta mazongee, maana tafrani hili, namalizia kwa msemo wa wahenga maana walongaaaaaa ebwana........ "Al maujunu fil kun'fil al funduku" Maana yake ........ Yale ya Uchawini yaachwe uchawini c kuyaleta ktk hadhara yakheee
mtoboasiri!...hili jina lilikuwa la utani kuanzia nikiwa skul, kuna fnd wangu wa kiganda alikuja likizo tz enzi zile za michezo ya luninga ya kina nyamayao, bac tu alitokea kulipenda akawa ananitania" nyamayao"....Cheusi babie nakumic pia ni maandalizi ya kwenda kuhesabiwa ndio yananiweka busy.....:kiss:
Wivu huoooomweee!!
Asante kwa taarifa (japo asante yangu imechelewa - leo mambo yalikuwa mambo kwenye majukumu). Ukiwa pande hizi za kuhesabiwa naomba tutaarifiane.
i once asked myself maana hizi id za jf hazina muamanaHuyu nae amepotelea wapi? I mean Nyamayao