The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.