Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic , ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.

Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.

Leo wokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.View attachment 2664510

Hizo ni kelele za wreckage ya Titanic
 
Mwafrica kama mwafrica.

Mzee nothing is perfect in 100%

Na ndio maana hata hiyo simu yako inakitu kinaitwa "Update"

Hivyo ajali ni kawaida kwasababu technologia ina defaults zake.
Hiko chombo watakipata then wataanza kuchunguza kosa/default then Hautojirudia Tena.

#YNWA
Upo very smart sana upstairs...

A very big point you’re saying I believe everything is possible at any means..Wataipata ikiwa bado inapumzi walau kwa asilimia kadhaa hivi, I hope hakutakuwa na maafa kabisa..
 
Ni utalii tu wazungu wadadisi na ukiwa na pesa hasa wazungu wanataka kuona vitu ambavyo masikini hatapata ona. Hiyo safari kila kicha kimelipa zaidi ya $80000 hiyo ni sawa na milion 200 za kitanzania.
Kuna ile space tourism seat moja ni sawa $200,000 na ni safari ambayo hata angani mtu hakai hata nusu saa. Lakini matajiri wa kizungu wanalipa seat zimeisha ili mradi mtu aone space tu
Kila kichwa ni dola 250,000...
 
1687369025976.png

Taarifa ya Kikosi cha Uokoaji cha Wanamaji kutoka Marekani (US Coast Guard) imeeleza kuwa 'Submarine' hiyo iliyobeba abiria 4 na Nahodha 1, itaishiwa hewa chini ya saa 24 zijazo, hivyo kupoteza matumaini ya kuwapata hai abiria waliopo ndani.

Nyambizi hiyo iliyopewa jina la Titan ilipoteza mawasiliano Juni 19, 2023 katika Bahari ya Atlantic ikiwa na hifadhi ya hewa ya Oksijeni ya saa 96, ilikuwa katika Utalii wa kutazama Mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama mwaka 1992 umbali wa Mita 3,800 chini ya Bahari.

Waliokuwa ndani ni Hamish Harding, Mtalii wa Uingereza, amewahi kwenda Mwezini mara kadhaa, Shahzada Dawood, Mfanyabiashara kutoka familia tajiri zaidi Nchini Pakistan na Mwanawe Suleman Dawood, Nahodha Stockton Rush na mtaalam wa Titanic, Paul-Henry Nargeolet.

=========

Days after a submarine that was taking five passengers to the underwater Titanic wreck went missing, a Canadian military surveillance aircraft today detected underwater noises, reported global media. The news provides a glimmer of hope to the rescue operation which has been on since Sunday. Meanwhile, a US Coast Guard officer told BBC News that the missing sub is likely to have 20 hours of breathable air left.

However, there has been no official confirmation on this yet. A statement from the US Coast Guard did not elaborate on what rescuers believed the noises could be. Estimates suggest as little as a day’s worth of oxygen could be left if the submersible vessel, titled ‘Titan’, is still functioning. But questions remain about how teams could reach the lost submersible, which could be as deep as about 12,500 feet (3,800 meters) below the surface near the watery tomb of the historic ocean liner.

What is the OceanGate submersible and how does it work?
📌 OceanGate Expeditions says it designed Titan to carry up to five people to a depth of 4,000 meters (13,120 feet). The wreckage of the cruise ship Titanic sits on the ocean floor about 3,800 meters (12,500 feet) below the surface.

📌 Titan weighs 9,525 kg (21,000 lbs), and can travel at a speed of 3 knots (3-1/2 miles per hour) using electric thrusters. OceanGate says it is equipped with powerful LED lights, a sonar navigation system and high-end camera equipment. It has a single porthole.

📌 OceanGate says Titan has a life-support system that can keep five people alive for up to 96 hours.

📌 Once passengers are inside, the hatch is bolted shut. Passengers generally sit on the floor, leaning their backs against a curved wall. There is a rudimentary toilet aboard

📌 Titan's carbon-fiber walls are 5 inches (13 cm) thick, and the vessel is capped at each end with titanium domes, according to David Pogue, a CBS News journalist who traveled on Titan last year. He had to sign a liability waiver describing the vessel as "experimental" and acknowledging a risk of injury or death.

📌 The vehicle is operated using a video-game controller, media have reported. OceanGate workers on the surface ship track the location of Titan and send text messages to the pilot with navigation instructions. (Reuters)

REUTERS
 
Mwafrica kama mwafrica.

Mzee nothing is perfect in 100%

Na ndio maana hata hiyo simu yako inakitu kinaitwa "Update"

Hivyo ajali ni kawaida kwasababu technologia ina defaults zake.
Hiko chombo watakipata then wataanza kuchunguza kosa/default then Hautojirudia Tena.

#YNWA
Ndiyo hawa kila ajali eti ajali haina kinga. Oooh eti mapenzi ya Mungu! Mungu gani Anapenda watu wake waangamie? Huku kwetu Mungu Anasingiziwa kwenye vitu vingi tu ambavyo ni matokeo ya uzembe, ujuaji na ujinga wa binadamu.

Uzuri wenzetu wameshavuka huko. Kila ajali chanzo kitasakwa mpaka kijulikane na kinarekebishwa. Ndiyo maana leo usafiri wa ndege unaaminika maana kila ajali jamaa wanajikunja kutafuta sababu na wanarekebisha. Hakuna ajali inayopita hivi hivi na kupoteza maisha ya watu bure.
 
Wewe acha hizi zero brains ziendelee na kuamini maombi ya mwamposa yatawaponya hahahaa...Nani katenda utasikia Yesuuu! Huku wakiangamia bila kujitambua 🤣🤣🤣
 
Wanakiherehere sana miaka mia wao wanaenda kufanya nini matajiri wameshiba baga
ndio maana marekani wamezuia waokozi wa UK kuzamia
 
Ndiyo hawa kila ajali eti ajali haina kinga. Oooh eti mapenzi ya Mungu! Mungu gani Anapenda watu wake waangamie? Huku kwetu Mungu Anasingiziwa kwenye vitu vingi tu ambavyo ni matokeo ya uzembe, ujuaji na ujinga wa binadamu.

Uzuri wenzetu wameshavuka huko. Kila ajali chanzo kitasakwa mpaka kijulikane na kinarekebishwa. Ndiyo maana leo usafiri wa ndege unaaminika maana kila ajali jamaa wanajikunja kutafuta sababu na wanarekebisha. Hakuna ajali inayopita hivi hivi na kupoteza maisha ya watu bure.
mbona mie nimekua nikisikia kuwa usafiri salama kabisa kuliko wote hapa duniani ni njia ya maji kwa maana ya meli.
 
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.

Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.

Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.View attachment 2664510
Allah awasaidie warudi salama waungane na familia zao
 
Mbona watu wengi tu huwa wanafanya hizi expeditions. Sema tu hakuna teknolojia ambayo ni error proof...ndo hivi unasikia eti ndege ni usafiri salama kuliko wote lakini siku teknolojia ikikorofisha ndege ukaanguka ndo unajua ukomo wa uwezo wa mwanadamu.

Na uzuri wa hawa wenzetu ajali ikitokea huwa hawaishii tu kusema kuwa eti ni mapenzi ya Mungu bali huitumia kama darasa kujifunzia makosa yaliyotokea na kuyarekebisha ili ajali nyingine isitokee kwa kisababishi kile kile!
Mwaka jana kilipotea kwa muda wa masaa matatu kabla ya kuonekana, Je,haikutosha kuwapa somo!?
 
Back
Top Bottom