Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

mbona mie nimekua nikisikia kuwa usafiri salama kabisa kuliko wote hapa duniani ni njia ya maji kwa maana ya meli.
Yawezekana uko sahihi aisee. Mimi sina uzoefu na haya mambo.....

Screenshot_20230621_214808_Chrome.jpg

Screenshot_20230621_215048_Chrome.jpg
 
Hao walikwenda kutafuta dhahabu, almasi ambzo zilipotea kwenye meli ya titanic, meli ya titanic ilizama na dhahabu pamoja na almas nyingi. Na asilimia kubwa hayo madini hayajapatikana.

Hao walikua wanayatafuta wamekutana na kitu kizito waache sound.
Wangechukuaje na wakat sub yenyewe haina hata winch au robotic arm. Na ni umbali wa ft karibu 12000 binadamu hawezi kusurvive nje ya chombo hicho kwanza thickness ya ukuta wake ni inches 5.
 
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.

Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.

Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.

View attachment 2664510
Painful death, yaani uankufa na unajua unakufa
 
Back
Top Bottom