bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Aliyezamisha titanic ndie kazamisha chombo Hicho kazi ya shetani Haina makosa walimbip kawapigia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini??Sidhan kama wako hai hao mpaka sasa
Mwafrica kama mwafrica.
Mzee nothing is perfect in 100%
Na ndio maana hata hiyo simu yako inakitu kinaitwa "Update"
Hivyo ajali ni kawaida kwasababu technologia ina defaults zake.
Hiko chombo watakipata then wataanza kuchunguza kosa/default then Hautojirudia Tena.
#YNWA
Ndo bas tenaView attachment 2664672
Taarifa ya Kikosi cha Uokoaji cha Wanamaji kutoka Marekani (US Coast Guard) imeeleza kuwa 'Submarine' hiyo iliyobeba abiria 4 na Nahodha 1, itaishiwa hewa chini ya saa 24 zijazo, hivyo kupoteza matumaini ya kuwapata hai abiria waliopo ndani.
Nyambizi hiyo iliyopewa jina la Titan ilipoteza mawasiliano Juni 19, 2023 katika Bahari ya Atlantic ikiwa na hifadhi ya hewa ya Oksijeni ya saa 96, ilikuwa katika Utalii wa kutazama Mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama mwaka 1992 umbali wa Mita 3,800 chini ya Bahari.
Waliokuwa ndani ni Hamish Harding, Mtalii wa Uingereza, amewahi kwenda Mwezini mara kadhaa, Shahzada Dawood, Mfanyabiashara kutoka familia tajiri zaidi Nchini Pakistan na Mwanawe Suleman Dawood, Nahodha Stockton Rush na mtaalam wa Titanic, Paul-Henry Nargeolet.
=========
Days after a submarine that was taking five passengers to the underwater Titanic wreck went missing, a Canadian military surveillance aircraft today detected underwater noises, reported global media. The news provides a glimmer of hope to the rescue operation which has been on since Sunday. Meanwhile, a US Coast Guard officer told BBC News that the missing sub is likely to have 20 hours of breathable air left.
However, there has been no official confirmation on this yet. A statement from the US Coast Guard did not elaborate on what rescuers believed the noises could be. Estimates suggest as little as a day’s worth of oxygen could be left if the submersible vessel, titled ‘Titan’, is still functioning. But questions remain about how teams could reach the lost submersible, which could be as deep as about 12,500 feet (3,800 meters) below the surface near the watery tomb of the historic ocean liner.
What is the OceanGate submersible and how does it work?
📌 OceanGate Expeditions says it designed Titan to carry up to five people to a depth of 4,000 meters (13,120 feet). The wreckage of the cruise ship Titanic sits on the ocean floor about 3,800 meters (12,500 feet) below the surface.
📌 Titan weighs 9,525 kg (21,000 lbs), and can travel at a speed of 3 knots (3-1/2 miles per hour) using electric thrusters. OceanGate says it is equipped with powerful LED lights, a sonar navigation system and high-end camera equipment. It has a single porthole.
📌 OceanGate says Titan has a life-support system that can keep five people alive for up to 96 hours.
📌 Once passengers are inside, the hatch is bolted shut. Passengers generally sit on the floor, leaning their backs against a curved wall. There is a rudimentary toilet aboard
📌 Titan's carbon-fiber walls are 5 inches (13 cm) thick, and the vessel is capped at each end with titanium domes, according to David Pogue, a CBS News journalist who traveled on Titan last year. He had to sign a liability waiver describing the vessel as "experimental" and acknowledging a risk of injury or death.
📌 The vehicle is operated using a video-game controller, media have reported. OceanGate workers on the surface ship track the location of Titan and send text messages to the pilot with navigation instructions. (Reuters)
REUTERS
Hakuna kitu kinatengenezwa na binadamu kisiwe na shida. Ndio maana ajali ya ndege huwa shirika la kimataifa la kusimamia mambo ya ndege au waliotengeneza ndege uwa wanatuma wachunguzi wao kusaidiana na nchi husika ili kubaini chanzo cha ajali kama ni tatizo la mfumo wa ndege warekebishe. Ni zoezi endelefu.Kama ndege zilivyokuwa hazipati ajali tena?
Aulizwe Elon Musk mtaalamu wa angaWazungu wanapambana kumuokoa Bilionea
Walikuwa wanafanya kazi kwenye International waters. Hakuna sheria kwenye International waters.Tayari hata nimeona kwenye chombo kingine cha habari wakisema hicho chombo hakikuwa certified na mamlaka husika kufanya hizo safari....
Na hapo ndipo mzungu anapotupiga bao. Sie kauli ya kijinga ya mipango ya mungu ndio inatuangushaMbona watu wengi tu huwa wanafanya hizi expeditions. Sema tu hakuna teknolojia ambayo ni error proof...ndo hivi unasikia eti ndege ni usafiri salama kuliko wote lakini siku teknolojia ikikorofisha mdege ukaanguka ndo unajua ukomo wa uwezo wa mwanadamu.
Na uzuri wa hawa wenzetu ajali ikitokea huwa hawaishii tu kusema kuwa eti ni mapenzi ya Mungu bali huitumia kama darasa kujifunzia makosa yaliyotokea na kuyarekebisha ili ajali nyingine isitokee kwa kisababishi kile kile!
Wameshatoka kwenye Territorial Waters wapo kwenye International Waters, kupewa msaada ni hiari ya nchi.Ni kiburi chao tu hao US na Canada. Wangeomba msaada Russia hii ishu ingekuwa imeisha ndani ya 24hrs.
Nakumbuka ile Drone ya US iliyoangushwa na Russia juzi juzi hapa na ikazama huko chini ya bahari.
Russia ilimchukua masaa yasiozidi 12 kui locate, kui-ibua na kuondoka nayo.
Vitu vingine wawe wanaomba msaada tu.
Hata ajali ya basi ya jana iliyoua watu kule Njombe nimemsikia sijui boya gani yule ana kicheo cheo hivi mabegani akisema eti kazi ya Mungu haina makosa wakati wanasema kampuni iliyohusika ndani ya mwezi huu tu hiyo ni ajali yao ya nne kama siyo ya tano; na wanajulikana kwa mwendo kasi na kutojali sheria za barabarani.Na hapo ndipo mzungu anapotupiga bao. Sie kauli ya kijinga ya mipango ya mungu ndio inatuangusha
The curse of Titanic! Kuna mengi mno yamesimuliwa humoSiri ambayo wazungu hawawezi kuiweka wazi, kipindi cha MELI ya TITANIC, kuna uovu mkubwa sanaa umefanyika kwenye ilee meli, yaani kukufuru kwa kiasi cha juu sana, kilikuwa kinafanywa cha kumkufuru Mungu
So hizi mambo zote ambazo zinaendelea ni Mungu anaonyesha ukubwa wake na hasira zake za tangu na tangu
Inaweza ikapatikana hiyo nyambizi/chombo kilichopotea, lakini juu ya yote ni ishara ya hasira ambayo anayo M/Mungu mtukufu anayo mpaka leo juu ya meli ya titanic na maovu yaliyokuwa yanafanywa humo na laana kubwa ya kumkufuru Mungu
Wazungu/wanasayansi wenyewe wanathibitisha kuwa wanavyoijua bahari 5% kati ya asilimia 100% so wameacha asilimia 95% hapo
[emoji1][emoji1]Parefu sanaKwann kwenye hizo submarine zisiwe zinawekwa kamba ili ikitokea chchte ivutwe tu
Dah!!!Kwann kwenye hizo submarine zisiwe zinawekwa kamba ili ikitokea chchte ivutwe tu
Nakwambia watz kwa mumsingizia mungu mambo ya ajabu, sidhani kama hiyo pepo tutaiona. Watz wote ni motoni tuu maana mungu ametula akili lakini hatuwezi zitumiaHata ajali ya basi ya jana iliyoua watu kule Njombe nimemsikia sijui boya gani yule ana kicheo cheo hivi mabegani akisema eti kazi ya Mungu haina makosa wakati wanasema kampuni iliyohusika ndani ya mwezi huu tu hiyo ni ajali yao ya nne kama siyo ya tano; na wanajulikana kwa mwendo kasi na kutojali sheria za barabarani.
Badala ya kutafuta chanzo cha ajali na kukirekebisha eti anasingiziwa Mungu 😬😬😬🚮🚮🚮