Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Mpaka muda huu watu waliokuwepo ni Rest in peace maana masaa ya oxygen yameisha.
Wanasema labda muujiza utokee wawe wamepunguza matumizi ya Oksijeni lakini inavyoonekana ni RIP 🙏🏿

Screenshot_20230622_150711_US Newspapers.jpg
 
Ni kiburi chao tu hao US na Canada. Wangeomba msaada Russia hii ishu ingekuwa imeisha ndani ya 24hrs.

Nakumbuka ile Drone ya US iliyoangushwa na Russia juzi juzi hapa na ikazama huko chini ya bahari.
Russia ilimchukua masaa yasiozidi 12 kui locate, kui-ibua na kuondoka nayo.

Vitu vingine wawe wanaomba msaada tu.
Sasa mbona hajatoa msaada wa kuipata ile ndege ya malysia halafu kuna submarine ya russia ikiwa na wanajeshi iliwahi kunasa chini russia akashindwa itoa. Fuatilia Kursk disaster. US wakasema wanaweza kuipa msaada wa kuiibua akagoma hao wajeda wakafia humo humo.
So, sio jambo la kitoto. Halafu serikali ya US jana iliwachukua muda kuclear raia wa ufaransa ambao ni wa taalam wa hizo mission jambo ambalo lili ifanya nifikirie kuwa labda serikali haikupa uzito.
 
Back
Top Bottom