Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Biashara ishaisha, masaa 96 yameisha mchana.Hivi sasa ni sa10 alasiri, wamepatikana au tutundike maturubai🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ishaisha, masaa 96 yameisha mchana.Hivi sasa ni sa10 alasiri, wamepatikana au tutundike maturubai🤔
Sasa hivi tunasubiri muujizaHivi sasa ni sa10 alasiri, wamepatikana au tutundike maturubai🤔
Bahari kuchafuka tu hakuwezi lifanya chochote limeli. Labda liwe limezidisha mzigo. Meli inasafiri zaidi ya siku 30 katika safari yake ikiwa haijaegeshwa popote. Unafikiri hizo siku zote inakutana na shwali?Labda bahari ikiwa imetulia.
Ikichafuka na dhuruba juu cha moto mtakiona yaani muanze Sala mapema sana.
Na teknolojia zote zilizopo duniani bado matokeo ni hafifu tu ?, Kile kisa cha nyambizi ya Russia iliyopotea kinaelekea kulingana na hichi.Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.
View attachment 2664510
Tesla na marine technology wapi na wapi wewe ?tayari washamuomba toka asubuh ya leo Tesla wako kazini...
Kwenye maji kugumu sana kuliko ata kwenye space we angalia umbali chombo kilipopotea ni 4km tu wakati kwenda mwezini karibu kilometa 384.4kNa teknolojia zote zilizopo duniani bado matokeo ni hafifu tu ?, Kile kisa cha nyambizi ya Russia iliyopotea inalingana kinaelekea kulingana na hichi.
...bado 'field' ya teknolojia ya majini inahitaji ugunduzi mpya zaidi na akili kubwa.
T14 Armata
Walinzi wa Pwani kutoa habari zaidi kuhusu eneo ambalo mabaki yamepatikana
View attachment 2665601
BBCCopyright: BBC
Kufuatia habari za hivi punde za mabaki yaliopatikanakatika utafutaji wa nyambizi ya Titan, walinzi wa pwani ya Marekani wametangaza kwamba wataandaa kikao na wanahabari mwendo wa saa tano usiku za za Afrika Mshariki.
Taarifa kutoka kwa walinzi wa pwaniinasema kwamba roboti aina ya ROVimepata mabakikatika sakafu ya bahari karibu na mabaki ya meli ya Titanic .
Admirali John Mauger anayeongoza utafutaji huopamoja na na kamanda Jamie Frederick watazungumza katika kikao hicho.
_______________
Tundikeni maturubai
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.
View attachment 2664510
Sio mara ya kwanza kwa chombo hicho kufanya safariHivi hawawezi kifunguliwa mashitaka ya kujiua??
Uko serious?Updates:
Hatimaye wamepatikana wakiwa wazima.
Familia zao wamewapokea wanamwaga machozi kishenzi