ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
🙁 sijui walikutwa na nini hadi chombo kikasambaratika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙁 sijui walikutwa na nini hadi chombo kikasambaratika
Sijajua kwa nini huyo mwenye hiyo twitter account ameamua kutumia picha ya muda mrefu ya mwaka 2004 kuongelea tukio lililotokea hivi karibuni.
Hiyo picha ya pili ni ya kitambo sana, sio picha halisi.
The difference is, hao matajiri watano ni raia wa nchi mojawapo inayowatafuta. Ni jukumu la jeshi la Marekani kutumia utaalamu wake kuokoa maisha ya Wamarekani vyovyote inavyowezekana hata kama ni gharama kubwa au hata kama ni wachache. Wakati huo hao wahamiaji haramu hata serikali zao haziwajui majina wala hazina mpango nao.
Hiyo picha kwa kuiona tu bila kusoma nimekumbuka ni ya Titanic halisi, niliona miaka kadhaa nyuma kipindi cha Deep Wreck Mysteries kwenye channel ya Viasat History. Ni kati ya series za documentary bora kabisa nilizofuatilia kwa mwaka mzima. Nilijua mengi kuhusu mabaki ya meli nyingi kubwakubwa zilizozama.Hiyo picha ya pili ni ya kitambo sana, sio picha halisi.
View attachment 2665690
Ulikuwepo nn mkuu kwenye titanic?????? Vp kuhusu zile meli za Cruise zinazopaki dubai msimu wa kiangazi na mambo yanayofanyika ndani yake Mungu akasiriki?????Siri ambayo wazungu hawawezi kuiweka wazi, kipindi cha MELI ya TITANIC, kuna uovu mkubwa sanaa umefanyika kwenye ilee meli, yaani kukufuru kwa kiasi cha juu sana, kilikuwa kinafanywa cha kumkufuru Mungu
So hizi mambo zote ambazo zinaendelea ni Mungu anaonyesha ukubwa wake na hasira zake za tangu na tangu
Inaweza ikapatikana hiyo nyambizi/chombo kilichopotea, lakini juu ya yote ni ishara ya hasira ambayo anayo M/Mungu mtukufu anayo mpaka leo juu ya meli ya titanic na maovu yaliyokuwa yanafanywa humo na laana kubwa ya kumkufuru Mungu
Wazungu/wanasayansi wenyewe wanathibitisha kuwa wanavyoijua bahari 5% kati ya asilimia 100% so wameacha asilimia 95% hapo
Taarifa za sasa zinamaanisha hao watu wamekufa tiyari. Mabaki yaliyopatikana ni ya sehemu ya nyuma ya hicho chombo na sehemu ya kutua. Meli ya Canada iliyokuwa inahost ilipoteza mawasiliano na Titan kwenye mita 3300, Titanic iko kama mita 3,750 chini.
Kwa haraka inawezekana chombo kimekuwa crushed kwenye depth hiyo. Hapo watafute mabaki mengine na wajaribu kupata miili. Kwanza hewa ingeshaisha masaa kadhaa yaliyopita hata kama chombo kingekuwa intact.
Chini ya maji kuna pressure kubwa sana,,,inaweza hata kukupasua kichwa..Yawezekana pressure ilipasua sehemu ya chombo hicho..Duuu very sadTaarifa za sasa zinamaanisha hao watu wamekufa tiyari. Mabaki yaliyopatikana ni ya sehemu ya nyuma ya hicho chombo na sehemu ya kutua. Meli ya Canada iliyokuwa inahost ilipoteza mawasiliano na Titan kwenye mita 3300, Titanic iko kama mita 3,750 chini.
Kwa haraka inawezekana chombo kimekuwa crushed kwenye depth hiyo. Hapo watafute mabaki mengine na wajaribu kupata miili. Kwanza hewa ingeshaisha masaa kadhaa yaliyopita hata kama chombo kingekuwa intact.
Hii comment yako mkuu una maana gani?Hizi tarii zingine ni kufuru tu [emoji36][emoji36][emoji36], mtu unajua uwezo wa kifaa kutunza hewa safi ni siku nne then unaenda tu, hapa mbuzi alijipeleka machinjioni aisee.
Billionare mjinga sana huyu, as a billionare how could you dare to dump/risk this free given golden life [emoji848]
Hii comment yako mkuu una maana gani?
Kwani walienda kukaa muda mrefu walikuwa wanakaa kidogo halafu kinapandishwa juu tu so kama hewa ilikuwepo ya kutosha. Hata masaa 2 kule chini wasingekaa
Ajali kazini mkuu. Wazungu risk takers utashangaa wanapelekwa mars ambapo jambo likitokea hata rescue mission haiwezekani maana safari yenyewe tu miezi kadhaaMkuu sina maelezo zaidi
Ajali kazini mkuu. Wazungu risk takers utashangaa wanapelekwa mars ambapo jambo likitokea hata rescue mission haiwezekani maana safari yenyewe tu miezi kadhaa
Hahaha hapana mkuu kwa kutake risk ndio wanagundua vitu. Unakumbuka wright brothers na ndege zao walikuwa wakizipanda na mmoja hadi alicrash nazo. Mke wa benz katika kujaribu invention ya mmewe akagundua brake zinazngua akaenda kwa fundi viatu akamwambia aweke sijui sole ya viatu sijui ngozi kwenye pads.[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu , wazungu ni more foolish trust me
Uko duniani wanaamini sana taasisi za serikali za udhibiti wa ubora. Wakiona kitu kimeruhusiwa wanakikubaliHizi tarii zingine ni kufuru tu [emoji36][emoji36][emoji36], mtu unajua uwezo wa kifaa kutunza hewa safi ni siku nne then unaenda tu, hapa mbuzi alijipeleka machinjioni aisee.
Billionare mjinga sana huyu, as a billionare how could you dare to dump/risk this free given golden life [emoji848]
Sasa hivi zimeanza kuja taarifa kuwa kati ya nyambizi 5 zenye uwezo wa kufikia mabak ya titanic ni hiyo tu ambayo haikuwa certified. Mara wameanza imetengenezwa kwa cheap.materialsUko duniani wanaamini sana taasisi za serikali za udhibiti wa ubora. Wakiona kitu kimeruhusiwa wanakikubali