livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Mkuu unaongea kama hujui maana ya ajali.hata ujipange vip ikiamua kutokea inatokea tuh.hicho chombo kilichozama unazan kimeanza fanya kazi leo?
Kitambo kinapeleka watalii huko chini ila ndio mipango ya mola hio
Kifaa kilikuwa kwenye majaribio bado(hao wote waliokufa walikuwa explorers) Yaani wavumbuzi , fuatilia vizuri. Hii haikuwa ajari ya kawaida bali ilikuwa katika phase ya Majaribio na watu wakafa.