Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Na teknolojia zote zilizopo duniani bado matokeo ni hafifu tu ?, Kile kisa cha nyambizi ya Russia iliyopotea kinaelekea kulingana na hichi.

...bado 'field' ya teknolojia ya majini inahitaji ugunduzi mpya zaidi na akili kubwa.

T14 Armata

Sikujua kama kuna wazungu wapumbavu, how could you risk your life kufanya risky tour kwa kutumia chombo ambacho hakijafanyiwa test za kutosha kuelekea huko?upumbavu wacha wafe
 
Wabongo kwa ujuaji hata kwa tusiyoyajua tuko vizuri!Nani kakwambia submarine huwa zinapanda kwa surface kupata hewa?Oxygen inatengenezwa kwenye submarine kwa process inayoitwa electrolysis!Wanatumia maji ya bahari kubreak H20 molecules kupata Oxygen!Kama hizi nuclear submarine,zinaweza kaa huko majini muda mrefu sana,changamoto huwa ni chakula ndio inabidi waje surface kuchukua stock!Wakiwa na stock ya kutosha mwaka,basi wanaweza kukaa huko mwaka!
Hiyo sub ya Ocean gate ilikuwa inatumia tanks kuhifadhi oxygen!Nimeona wataalamu wanasema changamoto ni pressure kubwa kwenye kina kile dhidi ya uimara wa sub yenyewe kuhimili hiyo pressure!Ndio ikatokea implosion!
Ushawahi kuwemo ndani ya submarine?
Nishakuwemo mle ndani so naongea kitu nnachojua we Hujui lolote.
Kaa kimya.
 
Sikujua kama kuna wazungu wapumbavu, how could you risk your life kufanya risky tour kwa kutumia chombo ambacho hakijafanyiwa test za kutosha kuelekea huko?upumbavu wacha wafe
Nani kakuambia hakijafanyiwa test za kutosha ?
 
Ushawahi kuwemo ndani ya submarine?
Nishakuwemo mle ndani so naongea kitu nnachojua we Hujui lolote.
Kaa kimya.
Hahahahaaaa,acha ujuaji usio na msingi!
Hebu tueleze hapa,unamaana gani kusema Submarine huwa inapanda juu kupata hewa?
Nuclear submarine inaweza kukaa majini miaka,kikwazo ni chakula tu!
Leta hoja hapa na sio maneno ya kanga!
 
Ni utalii tu wazungu wadadisi na ukiwa na pesa hasa wazungu wanataka kuona vitu ambavyo masikini hatapata ona. Hiyo safari kila kichwa kimelipa zaidi ya $250000 hiyo ni sawa na milion 600 za kitanzania.
Kuna ile space tourism seat moja ni sawa $200,000 na ni safari ambayo hata angani mtu hakai hata nusu saa. Lakini matajiri wa kizungu wanalipa seat zimeisha ili mradi mtu aone space tu
Kumbe ni ada ya kwenda mawinguni kwa muumba.
 
Ndiyo hawa kila ajali eti ajali haina kinga. Oooh eti mapenzi ya Mungu! Mungu gani Anapenda watu wake waangamie? Huku kwetu Mungu Anasingiziwa kwenye vitu vingi tu ambavyo ni matokeo ya uzembe, ujuaji na ujinga wa binadamu.

Uzuri wenzetu wameshavuka huko. Kila ajali chanzo kitasakwa mpaka kijulikane na kinarekebishwa. Ndiyo maana leo usafiri wa ndege unaaminika maana kila ajali jamaa wanajikunja kutafuta sababu na wanarekebisha. Hakuna ajali inayopita hivi hivi na kupoteza maisha ya watu bure.
Kwa sababu watasaka chanzo, inasababisha huo usiwe uzembe nadhani.Na kwasababu wanasakaga chanzo bila shaka wao ni smart sana.Tumetofautiana kufikiri.
 
Mtu anahatarisha maisha yake na huku akitumia karibu mil 600 kwenda kuangalia screpa la titanic,aisee wazungu[emoji1373]
Utaambiwa wana akili sana, ila kwa kipimo cha uendawazimu hiki ni mojawapo.Wazungu hatuwajui pengine walichokuwa wanatafuta wala sio tuelezwacho.
 
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.

Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho Alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.

Leo waokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.

View attachment 2664510
Mwana kulifaind, mwanakuligeti
 
Sasa mbona hajatoa msaada wa kuipata ile ndege ya malysia halafu kuna submarine ya russia ikiwa na wanajeshi iliwahi kunasa chini russia akashindwa itoa. Fuatilia Kursk disaster. US wakasema wanaweza kuipa msaada wa kuiibua akagoma hao wajeda wakafia humo humo.
So, sio jambo la kitoto. Halafu serikali ya US jana iliwachukua muda kuclear raia wa ufaransa ambao ni wa taalam wa hizo mission jambo ambalo lili ifanya nifikirie kuwa labda serikali haikupa uzito.
Pengine wana siri wanaificha.Hatuwezi ambiwa kila kitu.Wenye dini watasema Mungu hachunguziki.
 
Back
Top Bottom