NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
WamiumbukaSasa hivi zimeanza kuja taarifa kuwa kati ya nyambizi 5 zenye uwezo wa kufikia mabak ya titanic ni hiyo tu ambayo haikuwa certified. Mara wameanza imetengenezwa kwa cheap.materials
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WamiumbukaSasa hivi zimeanza kuja taarifa kuwa kati ya nyambizi 5 zenye uwezo wa kufikia mabak ya titanic ni hiyo tu ambayo haikuwa certified. Mara wameanza imetengenezwa kwa cheap.materials
Kihewadah kwahiyo tuseme wamekufa kiume au
🍺😃[emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu umewaza nini aiseeee
Ulikufa kwa kukosa hewa,the ukafufuka na sasa unatoa ushuhuda. Haya bwana.Nakijua bana 😅😅😅
Na mimi ndio nilikuwa nawaza hivyoKwenye hilo kundi wa mwisho kufa simpatii picha
Kifaa kilikuwa kwenye majaribio bado(hao wote waliokufa walikuwa explorers) Yaani wavumbuzi , fuatilia vizuri. Hii haikuwa ajari ya kawaida bali ilikuwa katika phase ya Majaribio na watu wakafa.
Hawarudi means wanakufa au wanaenda kuishi marsNi roho yao ya udadisi. Ndiyo iliwafanya akina David Livingstone, Carl Peters na explores wengine waondoke kwao bila kujua walikokuwa wanakwenda na kama watarudi salama.
NASA walijaribu kutangaza watu wa kujitolea safari ya bila kurudi kwenda Mars watu waligombania kama vile hawana akili nzuri. Na hii ni one way trip yaani hakuna kurudi maana kwenda tu ni miezi 7....
Wenzetu wana roho ya kupenda kujaribu mambo mapya, push the envelope hata wakifa wanaamini kuwa wamekufa wakifanya kitu walichokipenda na pengine kuacha legacy au kumbukumbu fulani....
Bilionea naniWazungu wanapambana kumuokoa Bilionea
Nilisikia alienda mwaka jana anasema una sign kifo tena sehemu tatu na wanakuambia kabisa unaweza ukaenda usirudiHakuna kitu kinatengenezwa na binadamu kisiwe na shida. Ndio maana ajali ya ndege huwa shirika la kimataifa la kusimamia mambo ya ndege au waliotengeneza ndege uwa wanatuma wachunguzi wao kusaidiana na nchi husika ili kubaini chanzo cha ajali kama ni tatizo la mfumo wa ndege warekebishe. Ni zoezi endelefu.
Hiki chombo sio safari yake ya kwanza kishapiga mbizi sana na bado kilikuwa kwenye xperimental phase na wao walijua hatari hizo kila aliyekipanda alitakiwa kusign makubaliano tena yameorodhesha hatari zilizopo na jinsi unavyoweza kufa.
GPS haifanyi kazi kwenye bahariNajiuliza tu kwamba civil submrine kama hizo huwa hazina sensor zinazoweza kutoa signal za location
Sasa ikiibuka si ndo hewa yenyewe we mbwiga.lazima mfanye overhaul mle ndani, taka zote , kinyesi, usafi mkubwa mara 1-2 miezi sitaHahahahaaaa,acha ujuaji usio na msingi!
Hebu tueleze hapa,unamaana gani kusema Submarine huwa inapanda juu kupata hewa?
Nuclear submarine inaweza kukaa majini miaka,kikwazo ni chakula tu!
Leta hoja hapa na sio maneno ya kanga!
Mimi pia nimejiuliza hili swali , kilomita 4 au 5 mbona ndogo sana kuifunga waya chombo ili iwe na mawasiliano ya uhakika , na ikitokea cha kutokea inavutwa juu chap ?Kwann kwenye hizo submarine zisiwe zinawekwa kamba ili ikitokea chchte ivutwe tu
nikiwaza hili naona wazungu hawajatuacha mbali sanaaaa kiteknolojiaMimi pia nimejiuliza hili swali , kilomita 4 au 5 mbona ndogo sana kuifunga waya chombo ili iwe na mawasiliano ya uhakika , na ikitokea cha kutokea inavutwa juu chap ?
Mwendawazimu wewe,eti kumwaga kinyesi!Nimekwambia changamoto kubwa ni chakula!Wakiamua wanaweza hata kubwaga kinyesi baharini!Nuclear submarine inaweza kaa hadi miaka 20 bila refueling!Issue ni chakula tu kwa crew members!Sasa ikiibuka si ndo hewa yenyewe we mbwiga.lazima mfanye overhaul mle ndani, taka zote , kinyesi, usafi mkubwa mara 1-2 miezi sita
Ndio ijazwe tena chakula na vinywaji upya .
Mnazama chini tena.
Hiyo submarine ya kariakoo fala wewe.Mwendawazimu wewe,eti kumwaga kinyesi!Nimekwambia changamoto kubwa ni chakula!Wakiamua wanaweza hata kubwaga kinyesi baharini!Nuclear submarine inaweza kaa hadi miaka 20 bila refueling!Issue ni chakula tu kwa crew members!
Sasa tueleze,ikiibuka,hiyo hewa inasaidia nini labda!
upo sahihi kwenye kutupa taka yoyote ndani ya maji huwa naona hata meli pale bandarini zinakuja na taka zakeHiyo submarine ya kariakoo fala wewe.
Nchi za watu sheria yote ya mazingira lazima ifuatwe.
Hakuna kutupa taka yoyote ndani ya maji.
Faini yake unaijua?
Nyie ndo mnakunyakunya ovyo kwenye michongoma huko mnazi mmoja.
Hapa unaonesha ufinyu wako wa akili!Yaani umekosa kabisa focus na kuelewa hoja!Unajua maana ya limitations wewe?Ikitokea vita ya dunia,submarine za kivita zinaweza kurisk kwenda kubwaga kinyesi eti kisa sheria ya mazingira?Huko vitani ukraine,wanajeshi wanaomba silaha na vyakula!Umesikia wapi wanaomba vyoo?Hawachafui mazingira?Hiyo submarine ya kariakoo fala wewe.
Nchi za watu sheria yote ya mazingira lazima ifuatwe.
Hakuna kutupa taka yoyote ndani ya maji.
Faini yake unaijua?
Nyie ndo mnakunyakunya ovyo kwenye michongoma huko mnazi mmoja.
Hapo Australia hawa Wachina zaidi,upo sahihi kwenye kutupa taka yoyote ndani ya maji huwa naona hata meli pale bandarini zinakuja na taka zake
Kuna Submarine Ukraine we mwehu kweli.Hapa unaonesha ufinyu wako wa akili!Yaani umekosa kabisa focus na kuelewa hoja!Unajua maana ya limitations wewe?Ikitokea vita ya dunia,submarine za kivita zinaweza kurisk kwenda kubwaga kinyesi eti kisa sheria ya mazingira?Huko vitani ukraine,wanajeshi wanaomba silaha na vyakula!Umesikia wapi wanaomba vyoo?Hawachafui mazingira?