Sio kazi ya mtu binafsi kutambua ubora wa kifaa fulani. Kampuni ikisharuhusiwa kuendesha shughuli automatically inakubalika moja kwa moja na wateja, sio mara ya kwanza OceanGate kufanya utalii huo kwa kutumia hiyo Titan. Washaenda wengine na kuna Mjerumani mmoja alisema experience yake kwenda na hicho kidude ni mbaya ni ya kutia hofu muda wote. Haiwezekani kampuni isajiliwe ifanye kazi miaka kadhaa alafu isiwe na certification ya kufanya hivyo, sidhani kama uzembe wa aina hiyo unaweza tokea nchi ile. Labda tuseme kuna udanganyifu wa ubora wa vifaa na specifications. Tusubiri inquiry