The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Mungu awasaidie in sha Allah watoke salama wakaendelee na maisha yao na familia zao.
Utalii mwingine ni kukitafuta kifo kwa tochi na kwa hiari.Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic , ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo wokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.View attachment 2664510
Mbona watu wengi tu huwa wanafanya hizi expeditions. Sema tu hakuna teknolojia ambayo ni error proof...ndo hivi unasikia eti ndege ni usafiri salama kuliko wote lakini siku teknolojia ikikorofisha mdege ukaanguka ndo unajua ukomo wa uwezo wa mwanadamu.Utalii mwingine ni kukitafuta kifo kwa lazima
Mpaka sasa msako wa kusaka eneo la hayo mawimbi haujazaa matunda, wengine wanahisi huenda ilipasuka vipande. Sasa wameanza kuchonga juu ya faults za nyambizi mara ilikuwa inaongozwa kwa pad ya logich ya kuchezea game kwenye PCSiku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic , ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo wokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.View attachment 2664510
Pembejeo a yu sirias?Mpaka sasa msako wa kusaka eneo la hayo mawimbi haujazaa matundo wenngine wanahisi huenda ilipasuka vipande. Sasa wameanza kuchonga juu ya defaults za nyambizi mara ilikuwa inaongozwa kwa pad ya logich ya kuchezea game kwenye pc
NakaziaTuwaombee. Kuna muda technology inakwama.
Bora wangekuwa wanakuja Serengeti na NgorongoroUtalii mwingine ni kukitafuta kifo kwa tochi na kwa hiari.
Kweli mkuu ilikuwa inaendeshwa kwa kutumia wireless gamepad ya toleo la logitech la 2010 inayouzwa $32. Naona sasa imekuwa issue watu washaanza laumu kwa mengiPembejeo a yu sirias?
Ila Wazungu aisee...Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic , ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda unatarajiwa kuisha kesho alhamis mida ya saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.
Waokoaji wanaendelea na kasi kubwa sana ya kukikafuta hiki chombo ambacho kilikwenda kwa ajili ya utalii wa kuangalia mabaki ya meli ya Titanic.
Leo wokoaji wamesikia kelele za mawimbi ya chombo kwa maana kwamba kuna uhai, ila hawajajua kilipo.View attachment 2664510
Ndo eneo Ma FreeMason wanaishi..!Bahari ya Atlantic ina mambo Fulani ya ajabu sana.