chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mama Samia amejibainisha kama Rais anayeheshimu utaalamu.
Samia ni tofauti na JPM, JPM japo alisoma sayansi mpaka PhD (kama ni kweli) aliyofundishwa na waalimu wake yote aliyakataa akiwa Rais.
Nyambura Moremi ndiye alikuwa akishughulika na kupima virusi vya corona, na kutoa kwake taarifa za kweli kulimponza.
Taifa lina deni dhidi yake, njia ya kuonyesha Kuna mahali taifa lilikwama ni kumrudis
ha kama alivyorudi Nehemiah Mchechu