Pre GE2025 Nyamongo: CHADEMA yahitimisha Oparesheni yake kwa Kishindo

Pre GE2025 Nyamongo: CHADEMA yahitimisha Oparesheni yake kwa Kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mlifinya yote hayo ili CDM wasuse wawaachie nyani mle shamba la mahindi.... mbele kwa mbele jino kwa jino. Kaa chini endelea kula dagaa lako huku mkidinyana usubirie katiba mpya na tume ya uchaguzi kwenye sinia.

Hili ndio kosa Kila siku tunalifanya.

Kuihoji CDM hakumfanyi mtu kuwa CCM au kuwa mpinzani wa CDM.

Miaka yote tumekuwa tukishindwa tunasema shida ni tume na katiba, tukafikia hatua yakusema 2025 hatuingizi timu mpaka tume na katiba viwekwe sawa.
Sasa tunauhakika gani na uchaguzi tunaokwenda kushiriki huku tume na katiba ni vilevile? au tunaendelea na vizingizio vilevile tu.

Kama 2015 na 2020 tunasema tumeporwa uchaguzi na watu wamekaa bungeni ikiwemo wale wabunge COVID kwa miaka yote na hakuna tumefanya zaidi ya kupiga mayowe bila impact yeyote hatuoni kama nasisi hatuna impact yeyote kwa Taifa hili zaidi ya usanii na kuishi tabia zile zile za CCM tu blah blah..
 
Nyamwaga...ukweni hapo...Muraaaaa.hongera zao nawaaminia....Wife alinifundisha mimi Ngosha namna ya kutembeza panga au jambia ili kukabiliana na Green guard enzi zile
 
Nyamwaga...ukweni hapo...Muraaaaa.hongera zao nawaaminia....Wife alinifundisha mimi Ngosha namna ya kutembeza panga au jambia ili kukabiliana na Green guard enzi zile
Tunaomba huo ujuzi uliopata usambazwe kila mahali
 
Ndiyo maana nawapenda Wakurya. Mkurya atakula rushwa yako na hatakupigia kura. Mhe. Waitara bye bye.
 
Back
Top Bottom