nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Nawapa hongera sana.
Mapokezi ya Tundu Lissu kuanzia Iringa, Mafinga, Makambako, Njombe, Baba lao Mbeya, Mlowo na Tunduma, mmenikosha sana. Mbeya na Tunduma pamoja na Mlowo sina wasiwasi na ninyi.
Mnachokifanya kinaonekana lakini shida ipo kwa majirani zangu Wabena, Wakinga na Wafipa. Naombeni mwaka huu na ninyi ikataeni CCM kama ilivyokataliwa na Tunduma na Mbeya.
Hongereni kwa mapokezi makubwa na yenye neema na baraka.
Huyu mwingine atakapokuja ale mawe tu hapo Mwanjelwa ndio atajua kuwa hapendwi.
Hongereni sana.