Uchaguzi 2020 Nyanda za Juu Kusini ni kiini cha mabadiliko

Uchaguzi 2020 Nyanda za Juu Kusini ni kiini cha mabadiliko

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,731
Reaction score
4,271
Nawapa hongera sana.

Mapokezi ya Tundu Lissu kuanzia Iringa, Mafinga, Makambako, Njombe, Baba lao Mbeya, Mlowo na Tunduma, mmenikosha sana. Mbeya na Tunduma pamoja na Mlowo sina wasiwasi na ninyi.

Mnachokifanya kinaonekana lakini shida ipo kwa majirani zangu Wabena, Wakinga na Wafipa. Naombeni mwaka huu na ninyi ikataeni CCM kama ilivyokataliwa na Tunduma na Mbeya.

Hongereni kwa mapokezi makubwa na yenye neema na baraka.

Huyu mwingine atakapokuja ale mawe tu hapo Mwanjelwa ndio atajua kuwa hapendwi.

Hongereni sana.
 
Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Umasikini wa kujitakia....... Ila tusisahau kua wanachagua mabadiliko shida ni nani yuko strong kuhakikisha mshindi anatangazwa......
Nyanda za juu wanakomaa sn kukabiliana na figisu zote lkn huko kwingine wakipinga kura basi hapo ndipo wanapopigwa na beberu ccm
 
Mkuu mbona huku kaskazini washindi wanatangazwa? hao ni wateja wazuri wa CCM
 
Ukweli unauma mkuu pole, amkeni

Shida yenu UKABILA kujiMWAMBAFAI NA UKANDA yaani hambadiliki.

Tuamke katika nini labda?

Na ninyi mliotangia kubadilika mna nini labda ambacho sisi hatuna.
 
Shida iko Tabora, Dodoma, Ruvuma, Rukwa, Nkasi.

Watu wa maeneo hayo watakua ni mabingwa wa kukesha kwenye mwenge, maana wamepumbazwa haswaa.
 
Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Chief kule nawafahamu sana. Nimeishi huko kwa miaka saba, ni wapenda mabadiliko sana na hawana kinyongo. Wanamaumivu makali sana ya kilimo. 2015 nikiwa Lindi 80% tulimpigia lowasa na ndio maana uliona majimbo mengi kusini yalikuwa CUF na CHADEMA. Hebu fuatilia kidogo tu takwimu za 2015 utakubali ninachokisema hapa
 
Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Hivi kwanini nguzo kuu ya ccm ni umasikini ?
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Shida yenu UKABILA kujiMWAMBAFAI NA UKANDA yaani hambadiliki.

Tuamke katika nini labda?

Na ninyi mliotangia kubadilika mna nini labda ambacho sisi hatuna.
Badilikeni nyie watu ccm inwatumia tu kula maisha sasa ni wakati wa kuitumbua ccm.
 
Back
Top Bottom