Naunga mkono hojaNgoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe
Wale hawana tofauti sana na Singida, Dodoma, Pwani, Geita, Kigoma, Katavi, Rukwa, Njombe, Shinyanga, Simiyu na TaboraNaunga mkono hoja
....nipo Songea na ninaona uhalisia wa u u
chokizungumza
Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Ukweli unauma mkuu pole, amkeniTatizo lenu mna dharau sana
Umasikini wa kujitakia....... Ila tusisahau kua wanachagua mabadiliko shida ni nani yuko strong kuhakikisha mshindi anatangazwa......Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Mkuu mbona huku kaskazini washindi wanatangazwa? hao ni wateja wazuri wa CCMUmasikini wa kujitakia....... Ila tusisahau kua wanachagua mabadiliko shida ni nani yuko strong kuhakikisha mshindi anatangazwa......
Nyanda za juu wanakomaa sn kukabiliana na figisu zote lkn huko kwingine wakipinga kura basi hapo ndipo wanapopigwa na beberu ccm
Wanatamgazwa baada ya mapambano Makali na kuyokukubali usanii wa ccmMkuu mbona huku kaskazini washindi wanatangazwa? hao ni wateja wazuri wa CCM
Kwanini kusini hawataki kupambana?Wanatamgazwa baada ya mapambano Makali na kuyokukubali usanii wa ccm
Ukweli unauma mkuu pole, amkeni
Kusini na kaskazini zipo sawa kimaendeleo?Shida yenu UKABILA kujiMWAMBAFAI NA UKANDA yaani hambadiliki.
Tuamke katika nini labda?
Kusini na kaskazini zipo sawa kimaendeleo?
Chief kule nawafahamu sana. Nimeishi huko kwa miaka saba, ni wapenda mabadiliko sana na hawana kinyongo. Wanamaumivu makali sana ya kilimo. 2015 nikiwa Lindi 80% tulimpigia lowasa na ndio maana uliona majimbo mengi kusini yalikuwa CUF na CHADEMA. Hebu fuatilia kidogo tu takwimu za 2015 utakubali ninachokisema hapaNgoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Kwanini kusini hawataki kupambana?
Hivi kwanini nguzo kuu ya ccm ni umasikini ?Ngoma ipo Lindi, Mtwara na Ruvuma, kule siyo masikini wa bahati mbaya mbali wanaupenda umasikini wenyewe.
Ukiwa masikini hata uwezo wako wa kufikri unakuwa mdogoHivi kwanini nguzo kuu ya ccm ni umasikini ?View attachment 1544136View attachment 1544137View attachment 1544138
Badilikeni nyie watu ccm inwatumia tu kula maisha sasa ni wakati wa kuitumbua ccm.Shida yenu UKABILA kujiMWAMBAFAI NA UKANDA yaani hambadiliki.
Tuamke katika nini labda?
Na ninyi mliotangia kubadilika mna nini labda ambacho sisi hatuna.