GE2025 Nyangasa amfananisha Askofu Gwajima na Kiongozi wa Waasi Joseph Kony wa Uganda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Akizungumza kuhusu mwenendo wa Gwajima, Nyangasa ameeleza kuwa Kony alianza harakati zake kwa mzaha, lakini baadaye akawa tishio kubwa kwa usalama wa wananchi na mataifa jirani.

Ameongeza kuwa Tanzania inasifika kwa mshikamano na utulivu wake, hivyo vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha misingi hiyo vinapaswa kudhibitiwa mapema ili kulinda umoja wa taifa.

Screenshot 2025-08-19 171056.png
 
Mmmh yaan Kuna ubaya gan kutoa maoni na kushaur namna ya kuishi vzur bila watu kufa? Mbona kila mwenye Nia njema yupo na Gwajima?
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Akizungumza kuhusu mwenendo wa Gwajima, Nyangasa ameeleza kuwa Kony alianza harakati zake kwa mzaha, lakini baadaye akawa tishio kubwa kwa usalama wa wananchi na mataifa jirani.

Ameongeza kuwa Tanzania inasifika kwa mshikamano na utulivu wake, hivyo vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha misingi hiyo vinapaswa kudhibitiwa mapema ili kulinda umoja wa taifa.

View attachment 3446355
Ccm Ina mshikamo na amani pale inapokua haihojiwi Kwa matendo yake maovu hasa ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rushwa .
Hivyo mtu au vitendo vyovyote vinavyohatarisha misingi hiyo ni lazima vishughulikiwe na kudhibitiwa mapema Ili kulinda umoja huo wa kunyonya nchi Kwa maslahi ya wachache.
Na katika kutekeleza Hilo, CCM imeajiri polisi kama chombo maalumu Cha kupambana na yeyote anayehoji mambo yanayofanana na hayo na mahakama inatumika kama chombo Cha kunyamazisha Kwa kutumia vibaya Sheria!
Huyu ni takataka
 
Tupunguze uropokaji. Huyo Kijana aende pale Gulu awaulize kilichotokea kipindi Cha Kony watampjibu vizuri.
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Akizungumza kuhusu mwenendo wa Gwajima, Nyangasa ameeleza kuwa Kony alianza harakati zake kwa mzaha, lakini baadaye akawa tishio kubwa kwa usalama wa wananchi na mataifa jirani.

Ameongeza kuwa Tanzania inasifika kwa mshikamano na utulivu wake, hivyo vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha misingi hiyo vinapaswa kudhibitiwa mapema ili kulinda umoja wa taifa.

View attachment 3446355

..huyu dogo anaamini kushindana na wenzake kwa kutumia Polisi, na mahakama.
 
Kijana mdogo sana ameropokwa vibaya mno mno ,hivi Kony anamjua au anamsikia? Aingie hata you tube aone balaa la Josee kisha afute kauli yake na kichwa hiko huyo dogo hawezi kuwa timamu
 
Ataka tu kutumia jina la Joseph Kony ili apate kura za kutosha, lakini hana ufahamu wowote mzuri kuhusu Joseph Kony.

Amuonea jicho la husda tu Mchungaji Gwajima.
 
Back
Top Bottom