Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mmmh yaan Kuna ubaya gan kutoa maoni na kushaur namna ya kuishi vzur bila watu kufa? Mbona kila mwenye Nia njema yupo na Gwajima?Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Akizungumza kuhusu mwenendo wa Gwajima, Nyangasa ameeleza kuwa Kony alianza harakati zake kwa mzaha, lakini baadaye akawa tishio kubwa kwa usalama wa wananchi na mataifa jirani.
Ameongeza kuwa Tanzania inasifika kwa mshikamano na utulivu wake, hivyo vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha misingi hiyo vinapaswa kudhibitiwa mapema ili kulinda umoja wa taifa.
Kwa upande wa CCM hilo ni kosa la jinai kuhoji hayo mambo!!Sasa gwajima kuhoji kuhusu watu wanaotekwa na kukutwa wamekufa ,kosa lake ni lipi?
Ccm Ina mshikamo na amani pale inapokua haihojiwi Kwa matendo yake maovu hasa ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rushwa .Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Akizungumza kuhusu mwenendo wa Gwajima, Nyangasa ameeleza kuwa Kony alianza harakati zake kwa mzaha, lakini baadaye akawa tishio kubwa kwa usalama wa wananchi na mataifa jirani.
Ameongeza kuwa Tanzania inasifika kwa mshikamano na utulivu wake, hivyo vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha misingi hiyo vinapaswa kudhibitiwa mapema ili kulinda umoja wa taifa.
View attachment 3446355
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtiania wa ubunge Jimbo la Ukonga, Rajabu Nyangasa, amesema kuwa matendo ya Askofu Josephat Gwajima yanafanana na yale ya kiongozi wa waasi wa Uganda, Joseph Kony, aliyesababisha madhila makubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.