Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

Huo ndio ukweli,watu hawasomi vitabu siku hizi
 
Eshy...

Kumbe nawe ni asante nyangwine...??

Aseee sipati picha bila yangwine ningejibuje pepa za geog,hist,civics,kisw,engl...

ndo maana cku hz ufaulu wa darasan2 co kielelezo cha weledi wa m2!unakuta m2 ana gpa kali lkn hana anachokijua khs sera na sheria za nchi yake hata kwa mambo yaliyo ndan ya wigo wake wa kitaaluma!.Binafsi nilimsoma nyangwine lkn nilipenda kudig deep of matters kwenye referrence makin zaidi!.,nyangwine hafai kabsa..vitabu vyake ni"extremely summarization of facts" kiasi ambacho m2 yyte anaweza kuandka kitabu km hicho!...,Great authors wanafanya research za kutosha zikiambatana na consultations nyingi ili kuhakiki facts za kile atakachokiongelea!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom