US imezidiwa na mashogaWamarekani ni hopeless people. Just wait, mid term election "watamchagua".. Nchi yenye watu wa hovyo ni USA.
Wamarekani ni hopeless people. Just wait, mid term election "watamchagua".. Nchi yenye watu wa hovyo ni USA.
Unamnunia anayekupa ugali Marekani na Nato kwisha habari yao..Tangu lini tajiri ananuniwa?
Au pesa kukinaisha?
Tatizo hamjui nani mnunuzi mkubwa wa mafuta ya urusiHatimaye Putin kapata tena fedha za kuendesha vita na jirani yake.
Uchaguzi wa wabunge, ambao anaweza kupoteza wingi wa wabunge halafu anafunguliwa mashitakaKuna nini hiyo Tarehe ?
Sasa mmetambua Iran sio Iraq..Anaitoa Ukraine kafara kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa! Tarehe 3.11 atakiona!
China na IndiaTatizo hamjui nani mnunuzi mkubwa wa mafuta ya urusi