Nyani Ngabu help me please

Mda mrefu Nyani hujajitofautisha na vijana humu! mpaka wengjne wanakuchukulia poa.pamoja na misukosuko ya huko ughaibuni,mpe rating huyu professor.nikisoma speech zake nakumbuka umahili wako wa hii lugha.
 
waafrika tuna tabu saaanaa
 


Mwafrika anakwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na hakuna kingine, Mzungu mwenye lugha yake asingeandika hivyo! Na ndiyo maana hakuna maendeleo isipokuwa ya kiingereza tu labda, hatuwezi kujenga Madaraja, nyumba imara, kutibu magonjwa wala hata kula chakula bora tu, ila tunaweza misamiati ya kiingereza!
 
Duuuh ngeri tupu.......

Labda tumtafute PhD holder mkulu.....
Mkuu hiyo siyo ngeri ni mawe! mkuu wa kaya nafuu angekuwa anaongea hayo tujua anamsamiati mzito.kuliko anavyochapia[emoji12]
 
Hahahahaha! PLO kichwa chake kina shida kwa kweli. " Floccinaucihilipilification " ? hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…