Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kukutana na "mzungu" ambaye anajua kiswahili kushinda wewe Mkwere wa Bagamoyo hapo?Mwafrika anakwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na hakuna kingine, Mzungu mwenye lugha yake asingeandika hivyo! Na ndiyo maana hakuna maendeleo isipokuwa ya kiingereza tu labda, hatuwezi kujenga Madaraja, nyumba imara, kutibu magonjwa wala hata kula chakula bora tu, ila tunaweza misamiati ya kiingereza!
Ha ha ha ha acha nibakie hichi hichi cha excuse me miss what's your namemimi nimeona mauzauza.kanifanya nionekane sijui kizungu[emoji12]
Hujawahi kukutana na "mzungu" ambaye anajua kiswahili kushinda wewe Mkwere wa Bagamoyo hapo?
Mimi nishakutana nae tena pale pale kwenye jumba jeupe karibu ma Baharini.
So wapo wazungu wanajifunza kiswahili tu na hakuna kingine
Japo nakubaliana na wewe kwamba lugha aliyotumia ni ngumu kiasi fulani.
Hapo bila Pdidy hutoboi.
Leo ndio nimeanza kuliona hili neno sasa hiyo tafsiri yake nitaijulia wapi?Hahahahaha! PLO kichwa chake kina shida kwa kweli. " Floccinaucihilipilification " ? hahahaha!
mkuu tatizo humjui huyo Prof.Yeye kwake hayo ni maneno ya kawaida sana kwake.Moja ya skill muhimu ya kuandika kwenye social media ni ujumbe wako ueleweke kwa urahisi na wasomaji na hatimae waweze kuchangia.
Na tatizo la kutumia bombastic words ni kupoteza meaning ya ujumbe. Una-focus kutumia maneno magumu uliyonayo zaidi ya kuandika ujumbe wenye kuleta maana.
katufanya tuonekane vilaza na madegree yetu! khaaWacha nikiri kwanza prof. katukomesha wengi hapa kisha baada ya hapo anaetaka kumkosoa kuwa anatusimangia umahiri wake wa kujua lugha aendelee na kuna wengine humu wamemtukana prof. kisirisiri lakini kama kutukoga basi katukoga wengi Shukran prof.
Eti kasemaje hapo?Lengo la lugha ni kuwasiliana. Mtu Mwenye akili timamu anatambua kiwango cha lugha kinachotumiwa na Jamii anayowasiliana nayo.
Sasa hapo yeye anawasiliana na watu gani? Mahoka? Au kichaa kimemuanza!!?