Nyani Ngabu help me please

Nyani Ngabu help me please

Mwafrika anakwenda Shuleni kujifunza kiingereza tu na hakuna kingine, Mzungu mwenye lugha yake asingeandika hivyo! Na ndiyo maana hakuna maendeleo isipokuwa ya kiingereza tu labda, hatuwezi kujenga Madaraja, nyumba imara, kutibu magonjwa wala hata kula chakula bora tu, ila tunaweza misamiati ya kiingereza!
Hujawahi kukutana na "mzungu" ambaye anajua kiswahili kushinda wewe Mkwere wa Bagamoyo hapo?

Mimi nishakutana nae tena pale pale kwenye jumba jeupe karibu ma Baharini.

So wapo wazungu wanajifunza kiswahili tu na hakuna kingine

Japo nakubaliana na wewe kwamba lugha aliyotumia ni ngumu kiasi fulani.
 
Wewe mwenyewe umesema wapo Wazungu ina maana ni baadhi ya watu na wengi wao wamesomea na ndiyo fani yao mambo ya Afrika Utamaduni pmj na lugha za Kiafrika, lkn kwetu ni kila Mwafrika anayekwenda Shule anakwenda kujifunza tu kiingereza/Kifaransa, Kireno/Kihispani inategemea na Mkoloni wake alikuwa nani, na hakuna kingine na ndiyo maana hakuna kitu Mwafrika anatilia umuhimu kama ujuaji wa hizo lugha!!
 
43df0adafb3e0760902890066dd51329.jpg
Hapo bila Pdidy hutoboi.
 
Moja ya skill muhimu ya kuandika kwenye social media ni ujumbe wako ueleweke kwa urahisi na wasomaji na hatimae waweze kuchangia.

Na tatizo la kutumia bombastic words ni kupoteza meaning ya ujumbe. Una-focus kutumia maneno magumu uliyonayo zaidi ya kuandika ujumbe wenye kuleta maana.
 
Wacha nikiri kwanza prof. katukomesha wengi hapa kisha baada ya hapo anaetaka kumkosoa kuwa anatusimangia umahiri wake wa kujua lugha aendelee na kuna wengine humu wamemtukana prof. kisirisiri lakini kama kutukoga basi katukoga wengi Shukran prof.
 
Ujuzi mwingi huondoa maarifa.Kichwa chake amekijaza maneno magumu ya kiingereza,lakini amekosa maarifa ya namna nzuri ya kuwasiliana na Watu wa kawaida.Msomi huyu amekuwa mjinga.
 
Mwalimu Nyerere "watu wananunua mashati ya Bangkok na viatu vya mchongoko kwa ajili ya kuwakoga tu wengine imekuwa nchi ya kukogana hii?
 
Moja ya skill muhimu ya kuandika kwenye social media ni ujumbe wako ueleweke kwa urahisi na wasomaji na hatimae waweze kuchangia.

Na tatizo la kutumia bombastic words ni kupoteza meaning ya ujumbe. Una-focus kutumia maneno magumu uliyonayo zaidi ya kuandika ujumbe wenye kuleta maana.
mkuu tatizo humjui huyo Prof.Yeye kwake hayo ni maneno ya kawaida sana kwake.
 
Wacha nikiri kwanza prof. katukomesha wengi hapa kisha baada ya hapo anaetaka kumkosoa kuwa anatusimangia umahiri wake wa kujua lugha aendelee na kuna wengine humu wamemtukana prof. kisirisiri lakini kama kutukoga basi katukoga wengi Shukran prof.
katufanya tuonekane vilaza na madegree yetu! khaa
 
Huyu bado mtoto sana kwa Patrick Obahiagbon.

Hamfikii hata nusu yake.
ananikumbusha mambo ya kina OKWONKO,UMUOFIA SOCIETY.IMEMTUMA KIJANA WAO OBI AKASOMEE SHERIA YEYE KASOMEA NGERI
 
Lengo la lugha ni kuwasiliana. Mtu Mwenye akili timamu anatambua kiwango cha lugha kinachotumiwa na Jamii anayowasiliana nayo.
Sasa hapo yeye anawasiliana na watu gani? Mahoka? Au kichaa kimemuanza!!?
Eti kasemaje hapo?
 
Back
Top Bottom