Hollo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 830
- 165
Poleni sana MUNGU aiweke ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI!Mwenye kutaka kuamini na aamini na asiyetaka kuamini na yeye asiamini ila sisi ndugu zake wa karibu tunaendelea kuomboleza. Mnaochukulia hili jambo kwa masihara hiyo ni juu yenu na uamuzi wenu kama manavyofanya kuhusu Balali!