Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Waku watu wanapenda kuharibu interviews acheni ushamba huo


Cc Serigio
 
Lini utarudi bongo kimoja kulisaidia taifa lako?
Mchango wako unahitajika magogoni
 
Madame huyu jamaa ulishampaga papuchi?[emoji53][emoji53][emoji53].........Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,sema kweli hapa!
Ye mwanaume na mimi mwanamke
Ye anadindisha nami nasimamisha
Mwanaume kaumbwa kwa ajili ya mwanamke na mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwanaume.
Mwanamke kutoa papuchi kumpa mwanaume si dhambi na wala hakuna maandiko yanayokataza tendo la ngono.

Ungepata jibu sema swali lako umeuliza kikuda....nami nakujibu kikuda.
Hebu acha tuanze mwaka mpya kwa mambo ya maana .
Wewe swala la kutiwa kwa mtu unataka kujua ili eje?
Ulikuwa unataka kunishikia paja?

Kusanya ada za wanao....J3 shule zinafunguliwa.
Usiku mwema.
 
Lini utarudi bongo kimoja kulisaidia taifa lako?
Mchango wako unahitajika magogoni

Kulisaidia taifa si lazima uwe bongo!

Na kulisaidia taifa siyo lazima uwe Mtanzania.

Hivi kwa mfano, unadhani watu waliovumbua hii mitandao ya kijamii ambayo sisi Watanzania tunaitumia kila siku katika kupashana habari, wao hawajalisaidia taifa? Unadhani wote hao ni Watanzania waliopo Tanzania?

Dunia imebadilika sana siku hizi. Hivi kwani mabalozi wa Tanzania nchi za nje, kwa mfano, wao hawalisaidii taifa kwa huo utumishi wao?

Pia, nijuavyo mimi, hata wageni mbalimbali kutoka nchi za nje wakiwemo watalii wakujao hapa nchini nao hulisaidia taifa.

Na kwa wakati huo huo kuna majitu yapo hapahapa Tanzania siku zote na hata Kenya hayajawahi kufika lakini hayana msaada wowote ulio chanya kwa taifa.

So there you have it ma nigga!
 

Kwa jibu murua namna hii naongeza laki tano kwenye ile milioni!

Holla at ya nigga.....
 
Kwa jibu murua namna hii naongeza laki tano kwenye ile milioni!

Holla at ya nigga.....
Woyoooooo
Tena nilitaka kusahau....ufanye tu unipe, maana inakaribia kuisha aisee.

Holla......!!!!!!
 
Je ni mshabiki wa timu gani hapa bongo na Epl?

Ni mbinu gani umeziona huko ughaibuni ambazo wahitimu wa vyuo hufanya kuondokana na utegemezi wa Ajira? Ambavyo pia wanaweza adapt vijana wa bongo kutokana na mazingira ya Tz uliyoishi/uliyoona?

Vipi kuhusu vuguvugu la kisiasa unaloshuhudia Tz,Je ni kweli tunaelekea kwenye chama kimoja? Na unawashauri nini Makamanda?
 
Una maoni gani kuhusu Tanzania kuruhusu dual citizenship Kwa watu wake walioko diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…