Nyani Ngabu Mjengoni! Interview: Mapenzi, Utajiri&Mali, Marafiki na Maisha ya ugenini.

Mimi nikiwa rafiki yako wa mtaani ni vibaya?

Mbuke.
 
niliona apa Jf kwenye comment sikumbuki uzi gani kuwa una mahusiano ya kimapenzi na Malaika je ni kweli.?
 
Mmmh! malaika wa mbinguni ama? Au yule mwanamziki? Nfyuuuuuuuuu! Hata kama Ngabu simjui tofauti na hapa jf ila sidhani kama ni mtu wa kuzoazoa mwanamziki kama yule anaetoka na kila mtu.
 
watu watakuwa waliunganisha dots kwasababu kuna kipindi alikuwa anafanya show marekani aka kaa uko kama mwaka hivi
 
Kwani Ngabu ndo mtanzania pekee marekani? Akifanya show lazima atoke nae? Watanzania kwa kutunga habari ni balaa.

I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…