Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 431557Huyu kulala karibia na bandarini, anasubiri meli itakayoleta mizigo mwezi huu akwee.
HahahahhhhView attachment 431557Huyu kulala karibia na bandarini, anasubiri meli itakayoleta mizigo mwezi huu akwee.
Narudi nyumbani mamie... jiandae tutengeneze mimba nyingineMtu kwao..!!!
Mbona hapa nyumbani ni ufalme na kule ndiyo utumwa?Nimepata taarifa kua Ngabu na wabeba maboksi wenzake wanafanya kikao cha dharura alfjiri hii (USA) time, na kujipanga namna ya kuondoka huko haraka iwezekanavyo!!!
My take: Dont be too hard on them wakifika tushee vumbi letu sote vizuri tuu!
sasa hivi mapacha...!!Narudi nyumbani mamie... jiandae tutengeneze mimba nyingine
sasa hivi mapacha...!!
Swadaktaaa... maana huku Trump ndo anatutimua hivyo. Dah!!
Ede geko O mayuDuuuhhhh, mwafrika ni mwafrika.
Muda wote ni kuomba mabaya kwa wengine.