Nyani Ngabu na wabeba maboksi wafanya kikao cha dharura

Nyani Ngabu na wabeba maboksi wafanya kikao cha dharura

nyumbani ni nyumbani,usipopapenda muonekano wa nyumbani fanya mabadiliko,shiriki mabadiliko,ugenini siyo kwako,kwa watu ni ugenini,mpenda ugenini ni mtumwa.
 
1478688655248.jpg
Huyu kulala karibia na bandarini, anasubiri meli itakayoleta mizigo mwezi huu akwee.
 
Nimepata taarifa kua Ngabu na wabeba maboksi wenzake wanafanya kikao cha dharura alfjiri hii (USA) time, na kujipanga namna ya kuondoka huko haraka iwezekanavyo!!!

My take: Dont be too hard on them wakifika tushee vumbi letu sote vizuri tuu!
Mbona hapa nyumbani ni ufalme na kule ndiyo utumwa?
 
Hahahaha Waje wanakumbushia lile song sijui lanani am coming home
 
Waliozoea kufirwa huko states huku wakiimba USA baby, cha moto watakipata. Warudi bongo huku marinda wameyakaza hakuna anayehitaji hizo rinda zao huku
 
Hahahaa warudi tu...jamaa alikuwa analalamika kwamba wahamiaji wanapora ajira za wazawa kule kitu ambacho ni kweli
Warudi huku tuje kusukuma mambo yasonge mbele
 
Back
Top Bottom