Nyani Ngabu na wabeba maboksi wafanya kikao cha dharura

Wakaribie tu hakuna namna nyingne waje wapige kazi kama kauli mbiu ya mkulu
 
Nyani ngabu kuja huku au ndo unakunja mizigo yako
 
Ng'abu Anza kumbembeleza magufuli
Tanzania baby
Tanzania baby
Tanzania baby
Kwasababu anakufahamu vzur sana au jiandae kuomba uraia wa France
 
Nimepata taarifa kua Ngabu na wabeba maboksi wenzake wanafanya kikao cha dharura alfjiri hii (USA) time, na kujipanga namna ya kuondoka huko haraka iwezekanavyo!!!

My take: Dont be too hard on them wakifika tushee vumbi letu sote vizuri tuu!

Na wakifika hapo uwanjani wasiingie mpaka tuwahakiki kwanza.
 
Wakifika waambieni yale mashamba ya urithi tumeshauza
Waanze maisha mapya
 
Nyani Ngabu.lazima haweke history ya kufika home maana ni miaka sasa tangu haende kupiga box.


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…