miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usa baby [emoji23] [emoji23]Duuuhhhh, mwafrika ni mwafrika.
Muda wote ni kuomba mabaya kwa wengine.
Mhhhhh?hicho kifanyio kitakuja kukatika ndio utakapokikalisha chini upumzikeNarudi nyumbani mamie... jiandae tutengeneze mimba nyingine
Afu jana nimeota vifanyio vyetu vimekutana vikasaini muungano wa serikali mbili.Mhhhhh?hicho kifanyio kitakuja kukatika ndio utakapokikalisha chini upumzike
Sio muungano tu na vikazaa kichwa Trump kabisaAfu jana nimeota vifanyio vyetu vimekutana vikasaini muungano wa serikali mbili.
Ede geko O mayu
Limela lyashoka mkaya!!
Nduhu nkoi limela ... duseke duhu dongeje shiku!!Gashi limela! Nayuhaga hamo ya nhana.
Nimepata taarifa kua Ngabu na wabeba maboksi wenzake wanafanya kikao cha dharura alfjiri hii (USA) time, na kujipanga namna ya kuondoka huko haraka iwezekanavyo!!!
My take: Dont be too hard on them wakifika tushee vumbi letu sote vizuri tuu!
Mkuu ni watu wetu...Na wakifika hapo uwanjani wasiingie mpaka tuwahakiki kwanza.
Jiandae kumpokeaAhhahahah
Wala usitie shakaJiandae kumpokea